Muigizaji  wa kundi la vichekesho la Orijino Komedi, Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji’ akiwa na wachezaji wake katika moja ya kazi zake za kuimba injili na kuhubiri neno la Mungu jijini Dar es salaam kwa mafanikio makubwa.
 Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji’ akihubiri neno la Bwana

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...