Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli,Mh. Edward Lowassa akimsalimia Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais (mstaafu), Jaji Joseph Warioba wakati walipokutana katika msiba wa Mbunge wa Zamani wa Karatu,Marehemu Patrick Qorro,Nyumbani kwa Marehemu maeneo ya Ada Estate,Jijini Dar es salaam leo.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli,Mh. Edward Lowassa akimsikiliza Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere,Mzee Joseph Butiku wakati wakiwa kwenye msiba wa Mbunge wa Zamani wa Karatu,Marehemu Patrick Qorro,Nyumbani kwa Marehemu maeneo ya Ada Estate,Jijini Dar es salaam leo.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli,Mh. Edward Lowassa na Mkewe Mama Regina Lowassa wakitoa heshima za mwisho kwa Mwili wa Mbunge wa Zamani wa Karatu,Marehemu Patrick Qorro,Nyumbani kwa Marehemu maeneo ya Ada Estate,Jijini Dar es salaam leo.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli,Mh. Edward Lowassa akibadilishana mawazi na Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais (mstaafu), Jaji Joseph Warioba wakati walipokuwa wakiondoka msibani,mara baada ya kumalizika kwa ibada ya kuaga Mwili wa Mbunge wa Zamani wa Karatu,Marehemu Patrick Qorro,Nyumbani kwa Marehemu maeneo ya Ada Estate,Jijini Dar es salaam leo.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli,Mh. Edward Lowassa akisalimiana na Prof. Issa Shivji wakati walipokutana kwenye msiba wa Mbunge wa Zamani wa Karatu,Marehemu Patrick Qorro,Nyumbani kwa Marehemu maeneo ya Ada Estate,Jijini Dar es salaam leo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Raisi mtarajiwa..watu wanakupenda. Kila mtu anakusimamisha kuongea na wewe. Naona mzee Butiku kaja mbio hapo.

    ReplyDelete
    Replies
    1. hata mimi naunga mkona raisi huyu mtarajiwa ni mtu wa wstu anskubalika na hafungamani na upande wowote na ana uzoefu wa uongozi hskuna kitachomshinda na atasikilizwa. wananchi kura zenu tu huyu mtu atatukomboa

      Delete
  2. Bila shaka tunampenda haswaa manake no longolongo ni kazi kwa kwenda mbele. Tunakusubiri kwa hamu 2015 panapo uzima

    ReplyDelete
  3. Poleni sana familia ya Qorro. Tulikuwa majirani Kileleni Rd. UDSM. Rest in Peace Mzee Qorro.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...