Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe. Pandu Ameir Kificho akimuapisha Mhe. Mahmoud Thabit Kombo kuwa Muwakilishi wa Jimbo la Kiembesamaki, katika ukumbi wa baraza la Wawakilishi Mbweni.
Muakilishi wa Jimbo la Kiembesamaki Mhe.Mahmoud Thabit Kombo (alievaa koja) akiwa na baadhi ya viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na wajumbe Baraza la wawakilishi katika picha ya pamoja baada ya kuapishwa
Mhe.Mahmoud Thabit Komboa akitoka nje ya Baraza la Wawakilishi kuwashukuru wapenzi na wanachama wa (CCM) waliofika katika sherehe za kuapishwa kwake ziliofanyika ukumbi baraza la Wawakilishi Mbweni nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...