Mkuu wa mkoa wa katavi Dtk Rajabu Rutengwe akikagua Shamba darasa la
mfano SAGCOT lililopo mkoani katavi katika kijiji cha Mwenge wilaya ya
Nsimbo lililopandwa kitaalamu na kuzingatia kanuni bora za kilimo na
kutunzwa kwa kutumia mbolea kutoka kampuni ya yara Tanzania, mbegu
bora za mahindi aina ya DKC 9089 kutoka kampuni ya mosanto vipimo
vya sm 75*60sm na kupandwa kwa punje mbilimbili za megu. kampuni ya
Mosanto akiwa anatekeleza mradi wa kilimo(SAGCOT) mkoani katavi.
Shamba darasa la mfano SAGCOT lililopo mkoani katavi katika kijiji
cha Mwenge wilaya ya Nsimbo linaukubwa wa heka mbili lililopandwa
kitaalamu na kuzingatia kanuni bora za kilimo na kutunzwa kwa kutumia
mbolea kutoka kampuni ya yara Tanzania, mbegu bora za mahindi aina
ya DKC 9089 kutoka kampuni ya mosanto vipimo vya sm 75*60sm na
kupandwa kwa punje mbilimbili za megu. kampuni ya Mosanto akiwa
anatekeleza mradi wa kilimo(SAGCOT) mkoani katavi.
Shamba darasa la mfano SAGCOT lililopo mkoani katavi katika kijiji
cha Mwenge wilaya ya Nsimbo lililopandwa kitaalamu na kuzingatia
kanuni bora za kilimo na kutunzwa kwa kutumia mbolea ya kutoka
kampuni ya yara Tanzania, mbegu bora za mahindi aina ya DKC 9089
kutoka kampuni ya mosanto vipimo vya sm 75*60 na kupandwa kwa punje
mbilimbili za megu.Bi Joanith mchiwa ni bibi shamba wa kampuni ya
Mosanto akiwa anatekeleza mradi wa kilimo(SAGCOT) mkoani katavi.
These maize crops are 'quite lovely'
ReplyDelete