Home
Unlabelled
namna gani pale?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
TZ Prisons 51, JKT 1...hiyo ilikuwa mechi ya netiboli
ReplyDeleteHayo ni Mabao 51 kwa Sifuri!
ReplyDeleteNi kuwa Maafande wa Lupango wamewafunga Maafande wa Uzalishaji Mabao 51 kwa Bila.
Kwa kuwa ni wenyewe kwa wenyewe Maafande Vikosini Jeshini 'hiro ritakuwa ni suara ra kijeshi zaidi tutamarizana vikosini'
Lakini ingekuwa Maafande wamefungwa Mabao hayo na Timu za Kiraia kama Simba au Yanga nadhani pangechimbika Maafande wange chomoa Pingu zao na wakawasweka Rumande Mabingwa wao wa Mipira ktk Mechi!!!
oooh noo, Mechanical Problem we will fix as soon as possible but this is due to Tanesco Mgao during the Game.
ReplyDeleteBut Inasomeka 51 - 0 au mechi ya Netball ilikuwa, you never know.
DIGITAL Imeingia kwenye viwanja vyetu vya maafande TZ.
ReplyDeleteJibu ni 51-0 wazee, ila hii mechi Prisons walishinda 6 - 0, Sasa from my point of view Jamaa vibao vya magoli vinaishia 5 tu, so jama walipo piga 6 kwa hesabu ya kigeshi wanaweka 1 mbele ya 5....CODE RED, Over!
ReplyDeletematokeo ya hii mechi yalikuwa 6 - 1. Tatzo hawana scor board ya number 6 hivyo ndo wakaweka 5 plus 1 adding to 6.
ReplyDeleteHahahah Mdau wa 5 umenichekesha!
ReplyDeleteIsipokuwa waandalizi wa Uwanja wakumbuke huwa Tanzania tunapokea Timu kama ile ya Comoro iliyocheza na Yanga SC ama Msubiji ya wasichana iliyocheza na Twiga/Tanzanite Stars ambazo ziliwahi kufungwa mabao zaidi ya 10 kwa kila moja zilipocheza na sisi hapa Tanzania zilipokuja.
Hivyo wandaaji wangezingatia inapotokea Karamu ya Mabao, haswa sisi tunapofunga wageni!!!
Hahahaha Maafande!
ReplyDeleteMngejaribu kuzingatia labda mlienda Depo ya mwaka mmoja(Mafunzo ya Uaskari) na wenzenu hivyho mngewapunguzia idadi ya Mabao mliyowafunga!
Wenzenu JKT wakirudi Kambini kwao Kikosini wata pewa adhabu kwa kushindwa ktk Mechi.
Muelewe ya kuwa wote Magereza na JKT mpo chini ya Amiri Jeshi wenu Mkuu mmoja Jakaya Kikwete!