Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Hata akifika huko endako nakhisi kuanzia nyonga mpaka nyayoni mote kutakuwa kushakufa ganzi. Inanikumbusha lile shairi....Karudi baba mmoja, toka safari ya mbali, kavimba yote mapaja, na kutetemeka mwili...lol Kumbe yote ya kujitakia mwenyewe bila kujali sheria, kanuni na taratibu za usalama barabarani kwa madereva na abiria wao.

    ReplyDelete
  2. Duh! Nakumbuka usafiri wa Chunya-Mbeya. Safari ni safari.

    ReplyDelete
  3. Tuombe mungu iwe ni utani tu wa kupiga pich kwani hiyo ni hatari kubwa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...