Wadau wa Taasisi mbalimbali wakisikiliza na kutoa maoni ya Rasimu ya kwanza ya mkakati wa Mawasiliano ya Mazingira Endelevu wa Ukuaji wa Uchumi na Kupunguza Umaskini Tanzania. . katika Ukumbi wa NIMRI
Mkurugenzi Msaidi wa Ofis ya Makamu wa Raisi Idara ya Mazingira Bi Magdalena J.Mtenga (wa kwanza kushoto) akifunguwa rasmi Semina ya Rasimu ya kwanza ya Mkakati wa Mawasiliano ya Mazingira Endelevu wa ukuaji wa u chumi na kupunguza Umaskini Tanzania. na kulia ni Alhaji.Selemani Kisimbo ni Kaimu Mkurungezi wa Idara ya Mazingira na wadau wa Taasisi mbalimbali.
Mkurugenzi Msaidi wa Ofis ya Makamu wa Raisi Idara ya Mazingira Bi Magdalena J.Mtenga akiwa kwenye picha ya pamoja na wadau wa Taasisi mbalimbali katika Semina ya kutoa maoni ya Rasimu ya kwanza ya Mkakati wa Mawasiliano ya Mazingira Endelevu wa Ukuaji wa Uchumi na Kupunguza Umaskini Tanzania .katika Ukumbi wa NIMRI. PICHA OFIS YA MAKAMU WA RAIS
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...