Mkurugenzi wa Global Publishers & General Enterprises Ltd, Marsha Bukumbi akimkabidhi mfano wa hundi ya shilingi milioni 10 mshindi wa shindano la Championi Mahela, Kizito George Chuma (kushoto).
Kizito George Chuma akiwa ameshika mfano wa hundi yake ya milioni 10.
Kizito George Chuma akiongea na wanahabari (hawapo pichani) baada ya kukabidhiwa mfano wa hundi ya shilingi milioni 10 na Global Publishers Ltd.
Meneja wa Global Publishers Ltd, Abdallah Mrisho (katikati) akimtambulisha mshindi wa milioni 10 za shindano la Championi Mahela kwa wanahabari (hawapo pichani)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...