Mkuu wa mkoa wa Mwanza, Bw. Evarist Ndikilo (Kulia) akijadiliana jambo na ujumbe kutoka mfuko wa Pensheni wa PSPF wakiongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko huo, Bw. Adam Mayingu (kushoto), lengo la ziara hiyo ni kukutana na wadau wa Mfuko huo, kuangalia fursa za uwekezaji na na kuhamasisha jamii kujiunga katika mpango wa uchangiaji wa hiari (PSPF Supplementary Scheme) ambapo kila mtu anaweza kujiunga na kujipatia mafao bora kwa maisha ya sasa na baadaye.
 Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Bw. Adam Mayingu, akitoa maelezo kwa Mkuu wa mkoa wa Kigoma,  Luteni Kanali (Mstaafu)  Issa machibya juu ya ziara yake katika mkoa huo ambayo ililenga kukutana na wadau wa Mfuko huo, kuangalia fursa za uwekezaji na kuhamasisha jamii kujiunga katika mpango wa uchangiaji wa hiari (PSPF Supplementary Scheme) ambapo kila mtu anaweza kujiunga na kujipatia mafao bora kwa maisha ya sasa na ya baadaye.
 Mkurugezi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Bw. Adam Mayingu, akiangalia baadhi ya bidhaa katika soko kuu la mkao wa Kigoma. Kulia ni Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kigoma Ujiji, Bw. Bakari Beji. Lengo la zaira ya watendaji wa PSPF mkoani humo ni kukutana na wadau wa Mfuko huo, kuangalia fursa za uwekezaji na kuhamasisha jamii kujiunga katika mpango wa uchangiaji wa hiari (PSPF Supplementary Scheme) ambapo kila mtu anaweza kujiunga na kujipatia mafao bora kwa maisha ya sasa na baadaye.
 Ujumbe wa watendaji wa PSPF pamoja na wale wa Manispaa ya Kigoma Ujiji wakitembelea moja ya soko. Mkurugenzi Mkuu wa PSPF Bw. Adam Mayingu aliongoza ujumbe wa watendaji wake mkoani Kigoma kwa lengo la kukutana na wadau wa Mfuko huo, kuangalia fursa za uwekezaji na na kuhamasisha jamii kujiunga katika mpango wa uchangiaji wa hiari (PSPF Supplementary Scheme) ambapo kila mtu anaweza kujiunga na kujipatia mafao bora kwa maisha ya sasa na baadaye.
Mkuu wa mkoa wa Mara, Bw. John Tupa, akitioa maelezo juu ya Mradi wa Ujenzi wa hospitali ya rufaa ya mkoani humo kwa Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF Bw. Adam Mayingu (Kulia), Mkurugenzi wa PSPF alitembelea mkoa huo kwa lengo la kukutana na wadau wa Mfuko huo, kuangalia fursa za uwekezaji na na kuhamasisha jamii kujiunga katika mpango wa uchangiaji wa hiari (PSPF Supplementary Scheme) ambapo kila mtu anaweza kujiunga na kujipatia mafao bora kwa maisha ya sasa na baadaye. 
Mkurugenzi Mkuu wa PSPF Bw. Adam Mayingu, akitoa maelezo kwa watendaji wakuu wa mkoa wa Mara juu ya ziara yake mkoani humo, lengo la ziara hiyo ni kukutana na wadau wa Mfuko huo, kuangalia fursa za uwekezaji na na kuhamasisha jamii kujiunga katika mpango wa uchangiaji wa hiari (PSPF Supplementary Scheme) ambapo kila mtu anaweza kujiunga na kujipatia mafao bora kwa maisha ya sasa na baadaye.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...