Rais Mstaafu wa awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi, akizindua mpango maalumu na endelevu wa kumuwezesha mkulima yeyote hapa nchi kupata trekta kwa bei nafuu kupitia ushirikiano wa benki ya KCB Tanzania,anaeshuhudia kulia ni Diwani wa Kwadelo wilaya ya kondoa mkoani Dodoma,Bw.Omary Kariati aliefanyikisha mradi huo na kununua trekta(15)kwaajili ya wakulima nchini.Hafla hiyo ilifanyika Mikocheni jijini Dar es Salaam jana.
Rais Mstaafu wa awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi, akiwasha Trekta ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa mpango maalumu na endelevu wa kumuwezesha mkulima yeyote hapa nchi kupata trekta kwa bei nafuu kupitia ushirikiano wa benki ya KCB Tanzania, Hafla hiyo ilifanyika nyumbani kwake Mikocheni jijini Dar es Salaam.Anaeshuhudia kulia ni Diwani wa Kwadelo wilaya ya kondoa mkoani Dodoma,Bw.Omary Kariati aliefanyikisha mradi huo na kununua trekta(15)kwaajili ya wakulima nchini.
Rais Mstaafu wa awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi, akiangalia moja ya Trekta kati ya(15) kabla ya kuzindua mradi endelevu wa kumuwezesha mkulima yeyote hapa nchi kupata trekta kwa bei nafuu kwa ushirikiano na benki ya KCB Tanzania na Diwani wa kata ya Kwadelo Bw.Omary Kariati.Hafla hiyo ilifanyika nyumbani kwake Mikocheni jijini Dar es Salaam.
Rais Mstaafu wa awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi, akiongea wakati wa hafla ya uzinduzi wa mpango maalumu na endelevu wa kumuwezesha mkulima yeyote hapa nchi kupata trekta kwa bei nafuu kupitia ushirikiano wa benki ya KCB Tanzania na Diwani wa kata ya kwadelo wilaya ya kondoa mkoani Dodoma, Bw.Omary Kariati wapili kushoto. Hafla hiyo ilifanyika nyumbani kwake Mikocheni jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wakuliama wa kata ya Kwadelo wilaya ya kondoa mkoani Dodoma wakimsikiliza Rais Mstaafu wa awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi,(hayupo pichani)akiongea wakati wa makabidhiano rasmi wa Trekta(15)kuzindua mradi endelevu wa kumuwezesha mkulima yeyote hapa nchi kupata trekta kwa bei nafuu kwa ushirikiano na benki ya KCB Tanzania na Diwani wa kata ya Kwadelo Bw.Omary Kariati.
Rais Mstaafu wa awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi, akisalimiana na Mkurugenzi wa ushirikiano wa kibenki wa benki ya KCB Tanzania,Bw.Frank Nyabundege(kushoto)wakati wa hafla ya uzinduzi wa mpango maalumu na endelevu wa kumuwezesha mkulima yeyote hapa nchi kupata trekta kwa bei nafuu kupitia ushirikiano wa benki ya KCB Tanzania na Diwani wa kata ya kwadelo wilaya ya kondoa mkoani Dodoma, Bw.Omary Kariati(kulia). Hafla hiyo ilifanyika nyumbani kwake Mikocheni jijini Dar es Salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...