Finally its happening in London, Mfalmeeeeee,
The one and only, Mzee Yusuf akijulikana kama King of Taarabu, anakuja London kwa show moja tu Show yenye hadhi, show ya watu wanaojuwa raha za Pwani na show ambayo hupaswi kukosa kuhudhuria.
Ni kwa kiingilio cha Twenty Pound Only ndani ya The Ville 640 Ripple Road BARKING.
Njoo upandishwe Jahazini, Njoo Tulambe na Njoo unukie marashi huku tukionja raha za Mpenzi Chocolate,
Yaaaani itakuwa Hatari Bin Dangerrrr
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...