Mjumbe wa Kamati ya vibali vya Filamu Bw. Andrew Makungu akimkabidhi aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati hiyo sasa Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Sihaba Nkinga zawadi kwa kuteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo. Nyuma Mwenye Tai ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Prof. Elisante Ole Gabriel na kushoto kwake ni Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Bi. Joyce Fisoo.
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Sihaba Nkinga akionesha zawadi aliyokabidhiwa na wajumbe wa kamati hiyo. Kushoto ni Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Bi. Joyce Fisoo.
(Picha na Assah Mwambene-MIH)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...