Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Dk.Azizi Ponary Mlima,Balozi mpya wa Tanzania Nchini Malaysia aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha kwa Rais
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar mapema leo aliagana na Balozi wa Tanzania nchin Malaysia Dkt. Aziz Ponary Mlima, Ikulu mjini Zanzibar. Balozi ametakiwa kukuza mahusiano mazuri yaliyopo kati nchi zetu mbili pamoja na zingine zinazowakilishwa na Ubalozi wa Tanzania Malaysia, zikiwepo Indonesia, Phillipines, Thailand, Laos, Cambodia na Brunei. Katika kukuza fursa za kiuchumi, uwekezaji, utalii na teknolojia.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...