Rais wa Zambia Mhe. Michael Sata na mkewe Bi.Dr.Christine Kaseba wakimjulia hali Mzee Kenneth Kaunda aka KK.
Habari za uhakikwa toka Lusaka zinasema kuwa Mzee Kaunda alilazwa siku ya Alhamisi Februari 20, 2014 katika hospitali ya Lusaka Trust. Mzee Kaunda alitoka hospitali siku ya Jumatatu Februari 24, 2014.

Taarifa ya kutoka kwa Msaidizi wake ni kuwa alilazwa kwa ajili ya uchunguzi wa afya yake (routine check up).
Alipohojiwa baada ya kutoka hospitali Mzee Kaunda alisema "anajisikia vizuri na anaendelea vyema.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...