Home
Unlabelled
NEWS ALERT: TAARIFA YA IKULU YA UFAFANUZI KUHUSU BARAZA LA MAASKOFU WA KIPENTEKOSTE TANZANIA (PENTECOSTAL COUNCIL OF TANZANIA) KUTOKUWA NA UWALIKILISHI KATIKA BUNGE MAALUM LA KATIBA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kwa maoni yangu naona taasisi za DINI hazistahili kuwemo kwenye bunge la Katiba.Tumeshasema serikali haina DINI.Kesho linaweza kuibuka kundi jingine likasema "na sisi tumesahaulika huku,sisi dini yetu ni a,b,c...."Serikali inapoanza kujitetea fulani ni dhehebu hili,ndiyo kabisa inachochea udini.Serikali iliangalie hili upya "when the dust has settled"Hatuoni kinachotokea pale Jamhuri ya Afrika ya Kati???
ReplyDeleteDavid V
Kaole sanaa mbona hawana muwakilishi na hawajalalamika?
ReplyDelete