Mwanafunzi wa kidato cha pili shule ya sekondari Tusiime, Naomi Shija akifurahia kompyuta ya kiganjani (tablets), aliyokabidhiwa na Mwanzilishi wa Opportunity Education Foundatio (OEF), ya Marekani, Joe Rickehs, katika uzinduzi wa mpango wa kuwawezesha wanafunzi kusoma kwa njia ya elektroniki shuleni hapo, ambapo OEF imeipatia shule hiyo kompyuta hizo 100. Nyuma wa kwanza kushoto ni Mkurugenzi wa Tusiime, Albert Katagira na walimu wa shule hiyo.
Home
Unlabelled
OEF yaendelea na mpango wa kuwawezesha wanafunzi kusoma kwa njia ya elektroniki
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...