Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba , Mhe. Saidi Mohamed Mtunda (katikati) na Mhe. Subira Mgalu kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wajumbe wa Bunge Maalum la Katika kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma leo. Kutoka kushoto ni Mhe. Dominick Lyamchay, Mhe. Rashid Mtuta, Mhe. Consitantine Akitanda na Mhe. Fahmi Dovutwa. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...