Dkt. Hamza Mwamoyo

Radio ni chombo cha habari kwa makundi yote kwa wasomi na wasio wasomi na pia chombo hiki hutumika kama chombo cha kijamii barani Afrika amesema mkuu wa idhaa ya Kiswahili ya sauti ya America VOA  Hamza Mwamoyo wakati akihojiwa an Sunday Shomari wa idhaa hiyo aliyewakilisha idhaa ya Kiswahili ya radio ya Umoja wa Mataifa katika kupata maoni ya mkuu wa VOA kuhusu maadhimisho ya siku ya radio Februari 13 yaliyoangazia uwezeshaji wa kijinsia kupitia radio.
 Hata hivyo Bwana Mwamoyo amesema waandaji wa vipindi vya radio wanakabiliwa na changamoto kubwa ya kuhakikisha vipindi wanavyoandaa vinawafanya wanawake wajumuishwe na kushiriki kwa ustawi wa kundi hilo.
Hapa anaanzakwa kuelezanafasi ya 
radio katika upashanaji taarifa.
(MAHOJANO)
Kusikiliza bofya hapa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...