Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na ujumbe wake wakiangalia karafuu
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiangalia bidhaa iliyokwisha kuwa tayari kwa matumizi ikiwa katika matayarisho yaliyo bora katika kiwanda cha cha Viungo cha (Everest Spice Industries Ltd) Mumbai India akiwa katika ziara ya Kiserikali,(katikati) Balozi wa Tanznaia Nchini India John W.H.Kijazi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akioneshwa kitu na Afisa Rajiv Shah, alipotembelea katika kiwanda cha Viungo (Everest Spice Industries Ltd) akiwa na ujumbe wake , kuona utendaji kazi za kila siku kiwanadani hapo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein,wakiangalia bidhaa zilizokwisha kuwa tayari kwa mauzo, walipotembelea katika kiwanda cha Viungo (Everest Spice Industries Ltd) akiwa na ujumbe wake nje ya Mji wa Mumbai, India.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...