Uzinduzi wa ofisi ya Tawi la CCM Ferry Kigamboni wilaya ya Temeke jijini Dar es salaam leo. Mjumbe wa NEC Phares Magesa alikuwa Mgeni rasmi ambapo alizindua tawi, na kuendesha harambee ya kuimarisha Chama kuichumi na kuingiza wanachama wapya
  Mjumbe wa NEC Phares Magesa akifungua ofisi za tawi hilo
  Mjumbe wa NEC Phares Magesa akitoa kadi kwa mwanachama mpya
 Mjumbe wa NEC Phares Magesa akihutubia baada ya kuzindua tawi hilo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Hii ni ferry ipi ile ya wauza samaki?? ndio mmeshawatamani wauza samaki??wakazi wa jangwani na kigogo nakumbuka nao walipewa miringoti na bendera kipindi hiko...ikawa taabu kuwatoa msimu wa mafuriko.....haya bwana.....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...