GARI AINA YA TOYOTA HIACE,
YEAR OF MAKE 1998, 3L DIESEL ENGINE, 70,000 KM,STICK SHIFT (MANUAL) INAUZWA KWA
TSHS 24,500,000.
HAIJAWAHI KUPATA AJALI NA
INATEMBEA VIZURI NA KATIKA HALI BORA KABISA YA KUFIKA KOKOTE TANZANIA.
HAIHITAJI MAREKEBISHO YOYOTE.
GARI IPO DAR ES SALAAM, TYRE
ZOTE 4 NI MPYA.
PIGA SIMU NAMBA 0787783487
KWA MAELEZO ZAIDI.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...