Gari lililokuwa limepakia shehena ya Sementi likiwa limepunduka katika barabara ya Arusha Moshi jirani na Bomang'ombe. Hakuna aliyejeruhiwa na chanzo cha ajali bado haijajulikana
Vijana wakichukua mafuta katika tenki la mafuta ya gari lililoanguka.
Sehemu ya sementi iliyokuwa imepakiwa katika gari hilo .
Askari polisi wa kituo cha polisi Bomang'ombe wakiwa katika eneo la tukio kuhakikisha kunakuwepo na hali ya usalama. Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii, Moshi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...