Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Hiyo ukiingia bora uage ndugu jamaa na marafiki

    ReplyDelete
  2. Kwa muonekano wa nje tu, kweli jina limesibu. Ukiingina humo inabidi useme 'buriani' mapeeema. Alojisemea mdau wa mwanzo hapo juu, inabidi uage ndugu jamaa na marafiki. Wala si uongo, maana imekaa kama ya waumiani. Hata hivyoi tusisahau kuwa....msafiri kafiri, na hata Simba anapozidiwa, basi usistaajabu ukimuona anakula majani.

    ReplyDelete
  3. Haunted House..lol

    ReplyDelete
  4. mbavu zangu jamani.loh

    ReplyDelete
  5. Hivi hawa watu wanajua maana ya maneno wanayotumia au wanaita tu guest house zao?

    ReplyDelete
  6. very strange ila labda literal translation

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...