Ofisa mazao wa mradi wa uzalishaji na masoko wa ufuta wa shirika la Farm Africa Mkoani Manyara,Tumaini Elibariki (aliyeshika zao hilo kulia) akitoa maelezo kuhusiana na mimea ya zao la ufuta kwa wageni wa kutoka Marekani Root Capital na Small Foundation waliotembelea mradi wa ufuta juzi Kijiji cha Ngoley Wilayani Babati.
Home
Unlabelled
Root Capital na Small Foundation ya marekani waliotembelea mradi wa ufuta babati
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...