Bi. Agnes Matle Ngula
24 Dec 1948 – 25 Feb 2014
Familia ya Bwana Venance Ngula inasikitika kutangaza kifo cha mkewe
Bi. Agnes Matle Ngula kilichotokea saa 1.30 asubuhi siku ya Jumanne, tarehe 25 Februrari 2014, katika Hospitali ya TMJ, Dar Es Salaam- Tanzania.
Msiba upo nyumbani kwa familia ya Bw. Venance Ngula, eneo la Masaki, mkabala na Seacliff Appartments, Dar Es Salaam.
Mazishi yanatarajiiwa kufanyika Jumamosi, jijini Dar Es Salaam.
Habari ziwafikie ndugu, jamaa na marafiki wote wa familia ya Ngula.
Bwana ametoa, Bwana ametwaa- Jina lake lihimidiwe daima!
Roho ya mama yetu mpendwa ipumzike kwa amani!
poleni sana.
ReplyDeletePOLENI SANA KWA KUONDOKEWA NA MAMA KWANI NAELEWA INAVYOUMA...KWELI MWANADAMU NI MAUA UCHANUA NA KUNYAUKA...MTEGEMEENI MUNGU NDIO ATAKAYE WAPA FARAJA YA MOYO WAPENDWA.
ReplyDeletePoleni sana wafiwa
ReplyDelete