Tunasikitika kutangaza kifo cha baba yetu mpendwa Mzee K.G. NGOWI wa Korogwe Tanga kilichotokea tarehe 16/02/2014. Mazishi yatafanyika siku ya Ijumaa tarehe 21/02/2014 nyumbani kwake Marangu, Mamba Mboni. Habari ziwafikie ukoo wa Ngowi, wakwe zake ukoo wa Kessy na wajomba zake ukoo wa Moshi. Tunamshukuru Mungu kwa maisha yake.
Home
Unlabelled
TAARIFA YA MSIBA KOROGWE TANGA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Rest In Peace mzee wetu wa Korogwe
ReplyDeleteRIP babu
ReplyDeleteRIP land lord wetu.. Mpangaji wako
ReplyDelete