Jumuiya ya Waislamu wa DMV (TAMCO) inapenda kuwakaribisha wote kwenye sherehe za MAULID .
Sherehe za Maulid zitafanyika siku ya Jumapili
Hii tarehe 16 Februari 2014.
Claridge Local Park
11901 Claridge Rd, Wheaton-Glenmont, MD 20902.
3:00 PM - 8:00PM
WOTE MNAKARIBISHWA
|
Home
Unlabelled
TAMCO INAWAKARIBISHA KWENYE MAULIDI YA MTUME MUHAMMAD DMV- JUMAPILI HII
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Assalam Alaykum Masheikh wa Washington-DC Marekani!
ReplyDeleteHapo kwa baridi hilo linaloonekana ktk ukungu ndio Uumini utaonekana kwa kuliingia baridi hilo kwa Swala ya Fajiri (Asubuhi) ohhh yataka moyo, ama sivyo mtu anaweza kujikuta anaswali saa 4 za Asubuhi badala ya saa 11 Alfajiri!!!