Home
Unlabelled
TANAPA WAWATIA MBARONI WAUZAJI WA PEMBE FEKI ZA FARU
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
The mdudu,mpigeni nyundo za nguvu ili iwe fundisho kwa wengene coz tushachoka kuona watu wanavyozichezea mali za uma
ReplyDeleteBut there is no case there, the material is phony rhino task, you can only charge them with an attempt to extract money illegally using false product.
ReplyDeleteEbwana eee hivi kuna Mizambwa ya Pembe za wanyama?
ReplyDeleteDuhhh, si afadhali huyu angalau anauza njanja anawapiga kuliko wale wanaotumia budnuki na kuua wanyama wetu?
Huyu hakustahili kukamatwa na kuwekwa kwenye Sheria, ilitakuwa watu kama hawa watafutwe kwa wingi IKIWEZEKANA WAAJIRIWE NA SERIKALI, chini ya Waziri Mhe. Nyalandu wawe wanalipwa Mihshara wawepo wafurike ktk Masoko ya Magendo ya Pembe za wanyama ili Wafanya Biashara Haramu wakija wapigwe KWA MZIGO WA PEMBE FEKI ili tuoke wanyama pori wetu na Maliasili za Tanzania!
ReplyDeleteTuwe Wabunifu kuilinda Maliasili yetu !!!, Guys wake up don't Imprison some people like this one!!!
Muuza pembe feki wa nini sasa, kamata wauza real rhino horns
ReplyDeleteingawa ametenda kosa ila naunga mkono wazo la wadau waliotangulia.
ReplyDeleteendapo pembe feki zitaenea sokoni zitaharibu soko la pembe halisi na hii itapunguza mauaji ya tembo.
ichukuliwe kama changamoto kwa wahusika kuwa wabunifu na kutumia njia kama hizi
Wazo zuri ,
ReplyDeleteInabidi wawezeshwe ,wachina wenyewe watakoma, mbona wao wanatuletea maplastiki na vitu kibao feki mpaka madawa baridi,kondom n.k
Hawa jamaa ni wabubifu wafumbiwe macho kidogo
this man is smart, kuliko kuua wanyama, wenye tamaa wapigwe changa la macho kama hivi.
ReplyDeleteHAWA NI WANAMAZINGIRA NA WANATAKIWA KUPONGEZWA KWA KUWAJENGEA MAISHA SALAMA FARU, DUNIA YA LEO INA VITU VINGI SANA AMBAVYO NI MBADALA NAVYO NI MBAO, NGOZI NA MAWE YA UREMBO NA HATA JUISI ZA MATUNDA AMBAVYO SI HALISI. TANAPA KUWAKAMATA HAWA SI SAHIHI LABDA TU KAMA MLITAKA WAUZE PEMBE HALISI ZA FARU. HIVI NIKIWA NA PEMBE YA NDOVU AU FARU YA KUIGIZA NYUMBANI KWANGU MTANIKAMATA? FIKIRINI KABLA YA KUCHUKUA HATUA.
ReplyDeleteNakubaliana na nyie wote, jamaa kosa hamna, labda kutaka kujipatia pesa kwa udanganyifu. Wanasheria naomba mnielemishe.
ReplyDelete