Mkuu wa Shughuli za Serekali Baraza la Wawakilishi Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, akitowa hutuba ya uhairishaji wa Baraza la 8, Mkutano wa 15, Kikao cha 11, cha Baraza la Wawakilishi baada ya Kuwasilishwa kwa Ripoti za Kamati za Baraza na kuchagiwa na Wajumbe wa Baraza hilo.ufungaji huo umefanyika jioni
Wajumbe wa Baraza wakimsikiliza Makamo wa Pili wa Rais akihutubia katika uhairishaji wa Baraza jana.
Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Pandu Ameir Kificho, akitowa taarifa ya Kikao wakati wa kuaza kwa kikao cha jioni kwa ajili ya kuahirisha Baraza hadi mwezi wa Mei 2014, kwa kusomwa Hutuba ya Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Mohammed Aboud, akizungumza na Mwanasheria Mkuu wa Serekali Mhe. Othman Masoud, wakiwa katika ukumbi wa Baraza wakati wa uhairishwaji wa mkutano huo.
Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wakifuatilia Hotuba ya Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar akihutubia wakati wa ufungaji wa Mkutano wa Baraza jana jioni.
Watendaji wa Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Uhairishaji wa Mkutano wa Baraza la Wawakilishi
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...