Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. hapa ni katika mazingira ya michezo. dogo yupo sirias kufanya experiment. atakuwa mwanasayansi huyu!!!

    ReplyDelete
  2. dogo anachanganya sprite & uhai.....huenda akawa mkemia huyo siku zijazo .... anaonekana yuko vizuri anajicho la kupiga "titration"

    ReplyDelete
  3. tayari kashaonyesha kipaji cha kuwa mwanasayansi je atatokaje?

    ReplyDelete
  4. "ooooooh ok! kumbe Merger and Acquisition (M&A) inawezekana! thatha sijui nani atamuanza mwenzake?!" Hivyo ndio dogo kama anavyojiuliza? ahahaaah huyu sio mwanasayansi ni mfanyabiashara huyu bwana!

    Swali, je ipo siku, mmoja wao atamnunua mwenzake? Yetu macho na tusubiri tuone.

    ReplyDelete
  5. Hilo ndio swali muhimu zaidi, ATATOKAJE! Hata kama picha hii imepigwa by chance but dogo ameonesha dhamira ya udadisi, kitu ambacho ni muhimu kwa mwanasayansi yoyote. Nimeipenda!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...