MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadick akifurahia jambo wakati akifungua mkutano wa Bodi ya Wakandarasi Nchini (CRB) na wadau wa manispaa tatu za Jiji la Dar es Salaam. Kulia ni Msajili wa Bodi ya CRB, Boniface Muhegi na kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Bodi hiyo, Joseph Tango.

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadick, akibadilishana mawazo na Msajili wa Bodi ya Wakandarasi Nchini (CRB), Boniface Muhegi na Makamu Mwenyekiti wa Bodi hiyo Joseph Tango, mara baada ya kufungua mkutano baina ya bodi hiyo na watendaji wa manispaa za Jiji la Dar es Salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. The mdudu, hapa tanzania hivi tunao hawa watu wanaoitwa WAKANDARASI? Mm naona hamna hata mmoja,why nasema hivi? Naona vikwangua anga vyote vya KARIAKOO VINAULIZA NIDONDOKE SASA HIVI AU BAADAE? Ndugu zangu watanzania mwenzenu huku niliko LONDON mpaka mtu kuitwa mkandarasi basi aliweka ujinga wote pembeni na kulipiga kisawasawa darasa na sivinginevyo kama hao ndugu zangu hapo wengi wao wakuunga unga so sishangai kusikia mijigorofa feki na isio na viwango ikidondoka na kuuwa ndugu zetu wasio na hatia,maana tanzania yetu mtu anaejiita mkandarasi basi usishangae akacheza kona zote,fundi umeme yeye,msimamizi wa majengo yeye,mpembuzi yakinifu yeye,mtaaramu wa mifugo yeye,mjenzi wa barabara yeye,na pia usistuke mtu huyo huyo ukamkuta anagombea kuwa kiongozi wa mpira wa miguu hapo TFF,,hayo makosa nilioyasema hapo ndio chanzo cha nchi kudumaa KIMAENDELEO,,mm the mdudu ni mtaaramu wa UCHUMI na niko njiani kuja kuleta Mapinduzi ya ukweli ya uchumi wetu,hakutakua na uganda wala kenya tutawatesa idara zote,hodi hodi nyumbani ila sijui kama mtanipokea kwa moyo mkunjufu? Hilo nakuachie nyie

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...