Home
Unlabelled
ukiwa roma lazima uwe kama wao...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
The mdudu,ndugu zangu hao watu muwe nao makini sn maana huku kwao hakukaliki njaa mtu ila wao wanakoma na sisi huku kwajinsi tunavyo papatua wakibaki mdomo wazi maana mm njaa nimeiozea toka enzi zile kule kwa Chisano au msumbiji.
ReplyDeleteWEWE The mdudu unaonekana ni mtu mnyonge na mwenye kaubaguzi ndani yako, kwani kupika ugali ni dhiki?
ReplyDeleteThe mdudu sio mbaguzi kabisa, lazima hawa watu tuwe makini nao sana baadhi yao ni mashushushu hao, lazima uwe na upeo hao wanaitawala dunia na wanakijua wanachokifanya. lakini sisi watu wa africa ni wakarimu kwa kupenda wageni ijapokua wao hawatupendi na kutufanyia ujanja wa kutuibia. tuamke wabantu. SOMETIME THINGS HAPPENS FOR REASONS
ReplyDeletemimi namtetea the mududu, unyonge ndio jadi yetu na lazime tuwe wabaguzi maana mametukuta mengi ya kuibiwa rasilimali zetu kwa sababu ya uhaba wa utambuzi na elimu yetu.
ReplyDeleteDu Ugali mtamu jamani!
ReplyDeleteAkina The Mdudu na ngugu zetu wengine huko Majuu ya nini tabu?
Muwe mara moja moja mnakuja Tanzania tuje tuuchape Ugali na nyama wa Jakaya Kikwete!
The Mdudu japo wakati mwingine hujikanganya katika maoni yake na wakati mwingine kiswahili cha mjini kinampita pembeni japo anataka kukitumia aandikapo. Lakini ni mtu mkweli, huongea yale yanayomkera moyoni na ana mapenzi makubwa sana na nchi yake Tanzania japo alikuwa Msumbiji muda mrefu.
ReplyDeleteWazungu sio watu wa kuwaamini sana katika mambo yote. Mimi nimefanya kazi nao na kuwa mmoja wa watu tuliokuwa mafundi wa GSM duniani sikuthaminiwa. Nilimweleza Balozi wetu aje kunitembelea kazini kwangu ili kumwonyesha Mtz ninavyoijenga dunia ya mawasiliano duniani na nimwonyenyeshe "live" mitambo ipi inayofaa kwa nchi yetu katika mawasiliano ya simu zetu Tanzania. Lakini Wazungu walimchukua na kumpeleka katika kitengo chao wanachokitumia kuficha mambo yao. Wakampiga siasa juu ya ushirikiano misaada wailetayo Tanzania na kumwambia kuwa mimi ni mfanyakazi wa chini sana asinisikilize na ni sawa na mhudumu tu katika mambo ya ufundi, kwa hiyo eti hakutakiwa kunisikiliza kwa lolote kwa vile sijui chochote kuhusu mitambo yao. Balozi aliwaamini na alikata mawasiliano na mimi. Lakini wao (viongozi wa kiwanda nilichokuwa nikifanyia kazi hiyo) waliniita na kuniambia kuwa. Mitambo yao ni siri kwa nchi za nje, kwa hiyo sikutakiwa kutoa siri hiyo kwa watu wa nje na watu wa nje hawatakiwi kuja kuiona. Kwa vile Balozi hakutaka kuendelea kuongea na mimi, basi na mimi nikaona nishikilie kitumbua changu cha kazi na nikaachana naye. Mimi sikuwa jasusi bali nilitaka kuwa mkweli katika kuisaidia nchi yetu ya Tanzania katika kupata mitambo ya kisasa zaidi kufutana na wakati, na wala sioni kama kulikuwa na hatari yoyote katika hilo katika kiwanda cha nchi iliyoendelea kama Sweden.
- Mr Mhoja - Sweden
Huyu mzungu anakaa sinza uswahilini. Namjua amejichanganya na walala hoi kwenye nyumba za kupanga.
ReplyDelete