Jaji Mkuu Mstaafu Mh. Thomas Mihayo akitoa ufafanuzi wa uzinduzi wa Rasimu ya pili ya Katiba
Mkurugenzi Mtendaji wa Haki za Binadamu Bi. Helen Simba akieleza kuhusika kwa haki za Binadamu katika Rasimu ya Pili katiba kwa wananchi.
Mgeni Rasmi Makamu Mwenyekiti Tume za haki za Binadamu Bi. Maafudha Hamidu akitoa hotuba kabla ya uzinduzi Rasmi wa kampeni ya Taifa ya kusambaza uelewa wa Rasimu ya Pili ya Katiba kwa Wananchi
Mgeni Rasmi Makamu Mwenyekiti Tume za haki za Binadamu Bi. Maafudha Hamidu akizindua Rasmi Kijitabu kidogo kilicho andikwa Rasimu ya Pili ya Katiba Inasemaje? Chapisho la Lugha nyepesi.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
Ankal Rekebisha tafadhali, Thomas Mihayo hajawahi kuwa Jaji Mkuu wa Tanzania, bali Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania
ReplyDelete