Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Dar inapendeza kweli kweli.

    ReplyDelete
  2. kasoro ya dar ni uchafu uchafu uchafu is just too much. watu tunaishi kama wanayama unakula popote unatupa uchafu popote na kujisaidia popote utafikiri hakuna Serikali. Anzeni basi kutoza fine kwa wanaotupa taka ovyo nasi tunatamani mji wetu kuwa angalau kama Nairobi jamani. We want feel proud of our city jamani mwe

    ReplyDelete
  3. Vikwangua anga viendane pia na huduma muhimu kama maji, umeme, barabara na parking. Hiyo pia inaendana na city planning.

    ReplyDelete
  4. Miundo mbinu iboreshwe kwanza halafu vikwangua anga

    ReplyDelete
  5. Nyie jamaaa wote, mdau#2,3, 4 mnaosema Dar inaitaji miundo mbinu au pachafu ngojeeni malalamiko toka kwa watu wanaosema mkisema hivyo hampendi kwenu. Shauri yenu. Bora mkae kimya maana wenyewe wanangojea mpaka hivyo vikwangua anga viwadondekee watu ndiyo wanaona Dar ipo kamili.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...