Home
Unlabelled
VIKWANGUA ANGA VYAZIDI KUMEA JIJINI DAR
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Dar inapendeza kweli kweli.
ReplyDeletekasoro ya dar ni uchafu uchafu uchafu is just too much. watu tunaishi kama wanayama unakula popote unatupa uchafu popote na kujisaidia popote utafikiri hakuna Serikali. Anzeni basi kutoza fine kwa wanaotupa taka ovyo nasi tunatamani mji wetu kuwa angalau kama Nairobi jamani. We want feel proud of our city jamani mwe
ReplyDeleteVikwangua anga viendane pia na huduma muhimu kama maji, umeme, barabara na parking. Hiyo pia inaendana na city planning.
ReplyDeleteMiundo mbinu iboreshwe kwanza halafu vikwangua anga
ReplyDeleteNyie jamaaa wote, mdau#2,3, 4 mnaosema Dar inaitaji miundo mbinu au pachafu ngojeeni malalamiko toka kwa watu wanaosema mkisema hivyo hampendi kwenu. Shauri yenu. Bora mkae kimya maana wenyewe wanangojea mpaka hivyo vikwangua anga viwadondekee watu ndiyo wanaona Dar ipo kamili.
ReplyDelete