Mfanyakazi wa kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom George Rwehumbiza, akiwaelekeza baadhi ya wafanyabiashara wa viatu walioko katika soko la kariakoo namna ya kujiunga na huduma mpya ya Hallo Tanzania ambayo inampatia mteja wa Vodacom. Sekunde 60 za kuongea bure kila siku asubuhi kuanzia saa 12 asubuhi hadi saa 3 asubui. Kujiunga na huduma hiyo mteja atapiga *149*01# na kuchagua Hallo Tanzania. Wafanyakazi wote wa Vodacom waliingia katika mitaa mbali mbali ya jiji la Dar es Salaam ili kutoa elimu kwa wateja kuhusiana na huduma hiyo.
Mfanyakazi wa Vodacom George Rwehumbiza, akiwaelekeza wafanyabiashara ya nyanya wa soko la kariakoo jijini Dar es Salaam, Bwana. Hassan Kibasha na Ahmed Msalima namna ya kujiunga na huduma ya Hallo Tanzania ambayo inamuwezesha mteja wa Vodacom kupata sekunde 60 za kuzungumza kila siku asubuhi. Kujiunga na huduma hiyo mteja atapiga *149*01# na kuchagua Hallo Tanzania. Wafanyakazi wote wa Vodacom waliingia katika mitaa mbali mbali ya jiji la Dar es Salaam ili kutoa elimu kwa wateja kuhusiana na huduma hiyo.

Mhasibu wa Vodacom Makao Makuu, Raphael Soka, akizungumza na Dereva Boda Joseph kayaula, kuhusiana na huduma mpya ya Hallo Tanzania ambayo inampatia mteja wa Vodacom. Sekunde 60 za kuongea bure kila siku asubuhi kuanzia saa 12 asubuhi hadi saa 3 asubui. Kujiunga na huduma hiyo mteja atapiga *149*01# na kuchagua Hallo Tanzania. Wafanyakazi wote wa Vodacom waliingia katika mitaa mbali mbali ya jiji la Dar es Salaam ili kutoa elimu kwa wateja kuhusiana na huduma hiyo.

Mhasibu wa Vodacom Tanzania Enjo Rusubi, akizungumza na wafanyabiashara ya Machungwa wa soko la Buguruni jijini Dar es Salaam, kuhusiana na huduma mpya ya Hallo Tanzania ambayo inampatia mteja wa Vodacom. Sekunde 60 za kuongea bure kila siku asubuhi kuanzia saa 12 asubuhi hadi saa 3 asubui. Kujiunga na huduma hiyo mteja atapiga *149*01# na kuchagua Hallo Tanzania. Wafanyakazi wote wa Vodacom waliingia katika mitaa mbali mbali ya jiji la Dar es Salaam ili kutoa elimu kwa wateja kuhusiana na huduma hiyo.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...