Usharika wa
St Anne’s Lutheran church unapenda kuwakaribisha wote kwenye ibada na sherehe ya
kusimikwa (ordination) kuwa Mchungaji ndugu yetu Moses Shonga (pichani).
Sherehe itaanza
saa nane mchana (2.00pm) na kufuatia na sherehe pamoja na vyakula na vinywaji
baada ya ibada. Nyote mnakaribishwa.
Anuani ni:
St
Anne’s Lutheran church
St Mary at Hill church
Lovat
lane
Eastcheap
London
EC3R 8EE
Kituo
cha karibu ni monument tube station.
Mnakaribishwa.
Sikugani mbona hamjaweka
ReplyDeletesiku ya Jumamosi tarehe 23/2/2014 saa nane mchana.
ReplyDelete