DSCF2780Wazee wa ngwasuma wakiburudisha mashabiki  ndani ya triple A night club-Arusha siku ya wapendanao Kwa udhamini mnono wa kampuni ya Megatrade  Investment kupitia kinywaji chake cha K-vant Gin
DSCF2770Wapili kushoto ni Meneja mauzo na masoko Goodluck Kway wa kampuni ya Megatrade  Investment akiwa katika meza ya pamoja na wadau siku ya valentine’s day.
DSCF2783Mashabiki wakifanya yao wakati wazee wa ngwasuma wakitoa burudani
DSCF2778Jailos Joseph wa Megatrade akiyarudi ndani ya stage…kushoto ni mdau wa jamiiblog.
DSCF2788Meneja mauzo na masoko Goodluck Kway wa kampuni ya Megatrade  Investment akiwa katika picha ya pamoja na warembo waliopendaza siku ya valentine day mara baada ya kuwakabidhi zawadi zao.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...