Madereva wanatakiwa kuwa makini wanapo peleka magari kuosha kwa mfano gari hili ni la thamani kubwa lakini linaoshwa katika  hali ya kuhatarisha gari hilo kando kando ya barabara ya dar mororogo eneo la mbezi kwa yusufu jana jioni.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Madereva wa Serikali bwana! Pesa kamili wanapewa kuoshea magari wanachakachua ili wapate ya kutanulia. Huo ni mfano tu yapo mengi yafanyikayo kuonyesha ubadhirifu wao.

    ReplyDelete
  2. Ndio maana kila gari inatakiwa iwe na bima. Bei kubwa ya gari kama huna bima kwanini uinunue?

    ReplyDelete
  3. Mnalalamika kama vile Gari hiyo haiwahusu vile

    Napenda mjue kuwa hiyo ni gari iliyonunuliwa kwa KODI ZETU hivyo tunapaswa hata unapomuona dereva mjinga kama huyo kumwambia ili ajue kuwa WENYE GARI HAWAPENDI UJINGA na KODI zao zinawauma

    Hata kama akakupuuza lakini atakuwa amekusikia na ipo siku ataifanyia kazi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...