Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla ( wa kwanza kulia ) akisikiliza jambo kutoka kwa Mtaalamu wa mradi wa Millennium Challenge Account (MCT), Sean Osullisan wakati alipotembelea machujio ya kusafisha na kutibu maji eneo la Mafiga , kwenye miradi ya maji ya Mamlaka ya Majisfi na Usafi wa Mazingira Manispaa ya Morogoro (MORUWASA).

Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla akitembezwa sehemu mbalimbali za machujio ya kusafisha na kutibu maji eneo la Mafiga , kwenye miradi ya maji ya Mamlaka ya Majisfi na Usafi wa Mazingira Manispaa ya Morogoro (MORUWASA).Picha na John Nditi
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...