Mjumbe Mhe. Tundu Lissu akitoa ufafanuzi ya moja ya hoja zilizowekwa mezani na wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakati wa majadiliano ya rasimu za kanuni
 Mjumbe Mhe.Ezekia Wenje akichangia
 Mjumbe Mhe.Christopher Mtikila akitoa maoni yake
Mjumbe Esther Bulaya akichangia hoja 
 Mjumbe Mhe Evod Mmanda akijibu hoja
Mjumbe Mhe. George Simbachawene akitoa ufafanuzi. 
Mjumbe wa kamati ya kuandaa rasimu ya kanuni  ambaye pia anatoka kundi la walemavu Mhe. Amon Anastaz Mpanju akijibu hoja za wabunge.
Picha na Deusdedit Moshi wa Globu ya Jamii

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Hili Bunge kweli ni kwa ajili ya wazawa, mambo ya suti hapa ni marufuku nini?

    teh teh, TULETEENI KATIBA YENYE TIJA.

    ReplyDelete
  2. Ulaji mtupu, three weeks and they have done nothing bado wanatunga namna ya kuendesha bunge.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...