Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akiwa sambamba na Mwakilishi wa Hoteli ya Waride Resort Bwana Massliano Bramucci wakikata utepe kuashiria ufunguzi wa Kituo cha Huduma za akina Mama wajawazito katika Kijiji cha Pwani Mchangani Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Mfadhili wa ujenzi wa Kituo cha akina mama wajawazito cha Pwani Mchangani Bwana Massiliano Bramucci akitoa maelezo kwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif mara tu baada ya kukifungua Kituo hicho.
Balozi Seif pamoja na wageni wengine waalikwa katika uzinduzi wa kituo cha huduma za akina mama wajawazito wakiangalia Gari la wagonjwa litakalotoa huduma kwenya Kituo hicho.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akisindikizwa wakati anaondoka hospitalini hapo. Kwa habari na picha zaidi BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...