Balozi Mdogo wa Tanzania Dubai, Mhe. Omar Mjenga, amefanya kikao cha maandalizi ya siku ya Taifa ( National Day) kusherehekea miaka 50 ya Muungano pamoja na uongozi wa Jumuiya ya Watanzania waishio UAE makao yao yakiwa Dubai.
Kushoto ni ndugu Shabir Damji, katibu wa Jumuiya, kati ni Bi Shamira ambaye ni mwenyeji wa sherehe hizo katika Le Meridien Hotel na Mhe Omar Mjenga, mjini Dubai leo. Chini wakipanga namna ya kufanikisha sherehe hizo
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...