Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Waterfront, Adelainde
Bishangazi (kushoto), akimkabidhi sehemu ya vifaa vya ujenzi, Mkuu wa Masista
wa Mtoto Yesu Bukoba, Sista Pudentiana
Kirungo kwa ajili ya ujenzi wa Kliniki ya akinamama na watoto katika
kijiji cha Kifuru-Kisarawe, Mkoa wa Pwani. Vifaa vilivyokabidhiwa ni
mifuko ya Saruji, bati, mbao na nondo. (Picha na Francis Dande)
Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Waterfront, Adelainde
Bishangazi (kushoto), akimkabidhi nondo kwa Mkuu wa Masista
wa Mtoto Yesu Bukoba, Sista Pudentiana Kirungo kwa ajili ya ujenzi wa Kliniki ya akinamama na watoto katika
kijiji cha Kifuru-Kisarawe, Mkoa wa Pwani. Vifaa vilivyokabidhiwa ni
mifuko ya Saruji, bati, mbao na nondo.
Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Waterfront, Adelainde Bishangazi (kushoto), akimkabidhi mbao zitakazotumika katika ujenzi wa kliniki hiyo.
Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Waterfront, Adelainde Bishangazi (kulia), akikagua maendeleo ya ujenzi wa Kliniki ya akinamama na watoto katika kijiji cha Kifuru-Kisarawe, Mkoa wa Pwani. Vifaa vilivyokabidhiwa na Benki ya CRDB ni mifuko ya Saruji, bati, mbao na nondo. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...