Wafanyakazi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kumaliza mbio za Kilimanjaro Marathon zilizofanyika Moshi. Wa nne kutoka kulia ni Mkurugenzi wa Utekelezaji, Crescentius Magori ambaye alishiriki katika mbio za kilometa 21. Wa pili kulia ni Meneja Kiongozi wa NSSF Mkoa wa Kilimanjaro, Delphina Masika.
Wanachama na wadau mbalimbali wa NSSF wakiwa medali zao baada ya kumaliza mbio za Kilimanjaro Marathon 2014 zilizofanyika Moshi, mwishoni mwa wiki. Kulia ni Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Crescentius Magori.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...