Katibu Mtendaji Bodi ya Filamu Bi. Joyce Fisoo akizungumza na waandishi wa
habari, hawapo pichani wakati wa mkutano wa waandishi wa habari kuhusu
mafanikio yaliyopatikana Bodi ya Filamu kuanzia miaka ya 1930 hadi sasa,
kushoto ni Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Wizara ya Habari,
Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Consilia Niyibitanga.
Katibu Mtendaji Bodi ya Filamu Bi. Joyce Fisoo akionyesha moja ya picha
zinazotolewa na wadau wa filamu kama matangazo ya kutambulisha filamu zao sokoni,
kushoto ni Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Wizara ya Habari,
Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Consilia Niyibitanga. Picha
na Genofeva Matemu – Afisa Mawasiliano Serikalilini, WHVUM
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...