Waziri wa Maji Maji Profesa.Jumanne Maghembe, akiweka jiwe la msingi kuashiria kuzindua rasmi kisma cha bomba la maji katika kijiji cha Kwadelo Halmashauri Wilaya ya Kondoa Machi 20, 2014 sambamba na maadhimisho ya kilele cha wiki ya maji dunia ambapo kitaifa yana fanyikia Mkoani Dodoma (kulia kwake), Mbunge wa Jimbo la Kaskazini Kondoa Mhe: Zabeini Mhita. kauli mbiu ni uhakika wa maji na nishati.
 Profesa.Jumanne Maghembe akipanda mti baada ya kuzindua mradi wa maji.
 Waziri wa Maji Maji Profesa.Jumanne Maghembe akimtwisha ndoo ya maji mkazi wa kijiji cha Kwadelo Bi.Hawa Athuman baada ya kuzindua rasmi kisima cha bomba la maji.
 Waziri wa Maji Maji Profesa.Jumanne Maghembe pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara  hiyo, Enjinia Bashir Mrindoko wakihutubia wakazi wa kijiji cha Kwadelo Halmashauri Wilaya ya Kondoa sambamba na maadhimisho ya kilele cha wiki ya maji dunia ambapo kitaifa yana fanyikia Mkoani Dodoma
 wakazi wa kijiji cha Kwadelo Halmashauri Wilaya ya Kondoa wakishuhudia uzinduzi wa mradi wa mji.
 wakazi wa kijiji cha Kwadelo Halmashauri Wilaya ya Kondoa wakishuhudia uzinduzi wa mradi wa mji.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Mpaka watu wanapanda miti, kweli miradi ya maji safi na salama ni muhimu. Kama nchi tuendelee kuwekeza, kuimarisha na kuongeza kwa kasi upatikanaji wa maji safi na salama katika kila pembe ya nchi hii.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...