Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi wa CCM Nape Nnauye akizungumza na Mwenyekiti wa UWT Kata ya Ubena Jesca Daudi ambaye alivunjwa mkono na watu wanaodaiwa kuwa ni Viongozi wa CUF waliovamia ofisi ya kata kwenye kijiji cha Tokamisasa.
 Katibu wa Wilaya ya Makete Miraji Mtaturu akizungumzia tukio lililomkuta  Mwenyekiti wa UWT Kata ya Ubena Jesca Daudi ambaye alivunjwa mkono na wanaodaiwa kuwa Viongozi wa CUF waliovamia ofisi ya kata kwenye kijiji cha Tokamisasa kuwa ni kitendo cha kinyama na cha kupingwa kwa nguvu zote na kitendo hicho kimemvua sifa za kuwa mgombea ubunge  wa CUF.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. hahahahahahaha..........mbona hata hamkuweka sababu ya hilo tukio ili tuweze kulaani wote? au mnalaani wenyewe tu na kumvua sifa za uongozi kwa staili muijuayo??

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...