Lately, I have followed the diaspora dialog taking place among members of the Tanzania diaspora living in the US.  I have read with great curiosity all that is being brought to light regarding our participation in the effort to support and uplift our homeland’s economy, thanks to those who have gone the extra mile to obtain data that proves the validity of the initiative.  
I would also like to address alongside this noble subject, the passionately celebrated issue of Direct Foreign Investment in Tanzania both of which subjects are for the good intentions of supporting the country’s economy.  In either case, I agree albeit with some reservations:
Before discussing the participation of diaspora in a homeland economy, let me first begin with the definition of the term diaspora which in recent years seems to magnetically draw interests of African countries to connect with compatriots leaving abroad and enlist them in the effort to help develop national economies.  
The term diaspora originates with the Jewish communities dating as far back as 587 BC that had been forced out of their homeland in the Middle East by warring invaders, the Babylonians who conquered their land. But because of the strong love they had for their motherland, they kept their traditions and religion intact and always tried to find ways to connect with their loved ones at home and especially the religious community.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Ndugu Nkanda.Asante sana kwa utam wa maoni uliyoyaainisha.Lakini ujuwe,mfano wa Uyahudi ulioutoahaulingani hata chembe moja na wanadiaspora wa Tanzania.Wayahudi wanachokiamini kuwa kule uyahudini ni promised land lakini watanzania hawana hilo.Wa Tz wamejawa na ubinafsi na hawako tayari kuipa msukumo TZ katika kina cha juu.Hii ni kwa sababu wengi wa watanzania wa nje malofa na wanayahudumia matumbo yao tuu sio jengine.Tangu uhuru hadi leo ni miaka 53 sasa na waliyoondoka kueleka huko kuyatafuta maisha ni wa idadi kubwa lakini jee ni miradi mingapi ya maji wameipa msukumo?Mradi gani wa kilimo cha kisasa wamekipa muendelezo Miradi mingapi ya afya wameibariki.Lakini wayahudi ni matajiri na wameweka mbele Uyahudi kwanza .Nikuulize wewe mwenyewe umewahi alau kuchangia tone la damu kwa hospitali ya Muhimbili kitengo cha ajali? Kuleta vijisenti kumsaidi mjomba ili apate dagaa ni wajibu wako ukipenda lakini weka mbele utaifa zaidi.Inafaa diaspora ziji-organize vizuri zaidi na kuuondosha ubinafsi. Tunataka tuone sio maneno mana maneno kuwa matam juwa hayavunji msitu. wake- up !!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wa Tanzania wameanza,kubaki inje ya nchi kuanzia miaka ya 90.kabla ya hapo walikuwa wakirudi.
      Hawarudi kwasababu hakuna ajira
      Hawa jamaa waliopo inje kama kundi lolote wanahaki ya kudai kitufulani serikalini.

      Delete
  2. Nakupongeza kwa comment hiyo. Ni kweli kabisa kila mtanzania aliyeko huku anapiga kelele kutaka uraia pacha lakini huyo huyo hajawahi hata kupeleka pesa ya dawati la shule ya msingi. Kama umeshindwa sasa ukipata uraia ndo utakumbuka. Tuna mifano ya watu wengi wanaishi nje hawana uraia pacha lakini wanasidia sana makwao. Mfano mzuri ni Kenya. Saidieni kama wafanyavyo wazungu basi unaenda TZ kwa mwezi au miezi 3 lakini kwa nia ya kujenga nchi kwa msaada wako nani atakuzomea? tunalalamika maji, umeme, miundo mbinu,nijuavyo mimi mjenga nchi ni mwananchi mwenyewe wala si mgeni. Tuache kuilaumu serikali kama hatujawahi kuisaidia hata kwa mchango wowote kwa kukaa kwetu huku nje zaidi ya miaka 10, 20 kuenjoy walivyojenga wamarekani au waingereza. Tujenge kwetu tuache kutamaki kwa wenzetu. Umefika wakati sasa wa kusema hapana turudi kwetu na kujenga cha kwetu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Do you qualify as a Citizen of Kenya?

      Below is some guidance on obtaining / regaining Citizenship of Kenya based on what category you qualify under; please take a moment to review the section relevant to you

      Already in possession of a Kenya and other passport
      If you already hold a Kenyan passport and the passport of another country, you can follow these steps to have your dual nationality recognised

      Delete
  3. Nkanda very good article, well covered. one thing to correct, the meaning of diaspora remains as is used now, there will be just its origin. same as many others ie .dressed to kill, tie ends, break your leg, tapeli, Nobel price, kiti moto etc.

    ReplyDelete
  4. Nakupongeza Ndg Nkanda for a well said Contribution.
    Hapa nilichojifunza ni umuhimu wa Diaspora na pia ulinganisho mzuri wa DFIs..
    wengine wana comment juu ya nini au kipi ambacho wanadiaspora meshakifanya kwetu Tanzania?!
    Kwamngu mimi nimeshahuhudia baadhi yenu wana diaspora mkijenga visima vya maji safi kule Songea sasa sidhani kama ni sahihi kulaumu kila mwana diaspora kwamba hana contribution kwa taifa lake ilhali hata sisi watanzania tuishio nyumbani hatuko committed enough to our country..wengi hujifanya wajuaji, wajanja wajanja tuu, tukitaka kutoka kwa njia nyepesi nyepesi paipo kutoa jasho la haswa..
    Hapa mimi nachoona ni tujifunze long term effects za DFIs ambazo hata serikali yetu imechukulia kama ndio kipimo cha ufanis wake kulinganisha na nchi zetu jirani.
    Sisemi kwamba hatuhitaji DFIs, hapana ila ni tumejiweka vipi kuhakikisha we don't end up suffering from long term negative effects zake? Migodi mingapi imefungwa kwamba no more Gold available na wananchi wetu wamebakia na mahandaki tuu? where is tulawaka mine? haya ndio maswali yakujiuliza nakuiuliza serikali..Kumbe ubinafsi unaanzia nyumbani badala ya charity to begin from home

    ReplyDelete
  5. Mdau #1&#2, navyoelewa MaDiaspora wameondoka makwao kutafuta maisha bora. Makosa tunayofanya WaTZ wengi ni kuwahukumu kwamba lazima walete maendeleo kwa vile wako nje' au ni matajiri. Ambapo si kweli, wengi shida ndiyo ziliwaondoa TZ. Wayahudi wanaelewa umuhimu wa Diaspora ndiyo maana hawagombani wenyewe kwa wenyewe na siye inabidi tujifunze umoja huo uwe ndani au nje'. Wayahudi wakiwa Marekani utawatambua ni Wayahudi na Watanzania vile vile, unajua ni Watanzania kwa sababu wanajitambulisha hivyo. Naomba jamani tufanye mijadala ya maana, siyo hii mibovu ya kuulizana toka huko Ughaibuni umeifanyia nini TZ?! kwani kila mtu, ndani na nje ya nchi, anatakiwa awajibhike kulijenga taifa. Labda unachokiona wewe ni msaada wa maendeleo kwa mwingine si hivyo. Pia siyo kila mtu anapenda kujitangaza kwamba amefanya iki ua kile kwa TZ. Na sidhani kama tutakuwa na nafasi ya kutosha kila Mghaibuni akajitapa kwa kuorodhesha alichoifanyia TZ. Kudai uraia pacha ni haki ya mtu-sidhani kama inampunguzia mtu mwingine, ila inaweza ikamwongezea. Tuache chuki zisizo na msingi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...