Mshindi wa kwanza wa tiketi ya kwenda Brazili Deusdedit Kahwa akibonyeza kitufe kuchezesha droo ya tano ya Winda Safari ya Brazili na Serengeti.
Meneja wa Bia ya Serengeti Rodney Rugambo akizungumza kwa njia ya simu na mmoja wa washindi wa droo ya tano ya promosheni ya Winda Safari ya Brazili na Serengeti ilyofanyika jana katika Kiwanda cha Bia cha Serengeti jijini Dar es Salaam.

Mshindi wa kwanza wa tiketi ya kwenda Brazili aliyepatikana wiki iliyopita, Deusdedit Kahwa akielezea furaha yake kwa wana habari katika droo ya tano ya promosheni ya Winda Safari ya Brazili na Serengeti iliyofanyika jijini Dar es Salaam, kulia kwake ni Meneja wa Bia ya Serengeti Rodney Rugambo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...